Mhe. Dkt. Stergomena L. Tax (Mb) pamoja na Jenerali Jacob Mkunda wamewasili jijini Izmir, kwa ajili ya kushiriki Mazoezi ya Kijeshi Efes - 2024
Mhe. Dkt. Stergomena L. Tax (Mb), Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa pamoja na Jenerali Jacob Mkunda, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania wamewasili jijini Izmir, Uturuki tarehe 28/05/2024 kwa ajili ya kushiriki Mazoezi ya… Read More