News and Resources Change View → Listing

UJUMBE WA TANZANIA WATEMBELEA CHEMBA YA WAFANYABIASHARA NCHINI UTURUKI

Istanbul, Septemba 8, 2025 – Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Mhe. Iddi Seif Bakari, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uturuki,  ulitembelea Chemba ya Wafanyabiashara ya Istanbul…

Read More

TANZANIA YAENDELEA KUFUNGUA SOKO LA MAZAO KIMATAIFA

Tanzania imeshiriki kwenye Kongamano la Kimataifa la Ufuta na Karanga ambalo lililofanyika jijini Istanbul, Uturuki kuanzia tarehe 5-7 Septemba 2025. Kongamano hilo lilijumuisha mataifa yanayolima mazao ya…

Read More

UJUMBE WA TANZANIA WAKUTANA NA KAMPUNI ZA UNUNUZI NA UCHAKATAJI WA MAZAO NCHINI UTURUKI

Istanbul, tarehe 5 Septemba 2025, Ujumbe wa Tanzania unaoshiriki Kongamano la Dunia la Ufuta na Karanga nchini Uturuki, kwa nyakati tofauti ulifanya mazungumzo na Kampuni za TANIŞ Processjng Tech. na AKY…

Read More

Balozi Iddi Seif Bakari awapokea Wakuu wa Taasisi na Wataalamu kutoka Wizara na Taasisi mbalimbali za Serikali

Mhe. Balozi Iddi Seif Bakari, Septemba 4, 2025, amepokea ujumbe wa Tanzania, ukijumuisha Wakuu wa Taasisi na Wataalamu kutoka Wizara na Taasisi mbalimbali za Serikali ambao upo Istanbul, Uturuki kwa ziara ya…

Read More

Balozi wa Tanzania nchini Uturuki amepokea ujumbe kutoka Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC- Tanzania)

Tarehe 25 Mei 2025, Mhe. Iddi Seif Bakari, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ankara alipokea ujumbe kutoka Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC-Tanzania), ambao uko nchini Uturuki kwa ziara maalum ya…

Read More

Mhe. Iddi S. Bakari amefanya mazungumzo na wawakilishi wa kampuni ya Alp24

Katika kuendeleza jitihada za kuvutia wawekezaji nchini Tanzania, tarehe 14 Mei 2025, Mhe. Iddi Seif Bakari, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uturuki alifanya mazungumzo na wawakilishi wa…

Read More

Balozi Iddi Seif Bakari azungumza na Bi. Federica Falomi, Mkuu wa Programu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Teknolojia

Tarehe 14 Mei 2025, Ubalozi ulitembelewa na Bi. Federica Falomi, Mkuu wa Programu (Head of Programme) wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Teknolojia linaloshughulikia nchi zenye uchumi wa chini (UN Technology…

Read More