News and Events Change View → Listing

Mazungumzo ya Mhe. Balozi wa Tanzania nchini Uturuki na watendaji ya benki ya CRDB

Mhe. Lt. Jen. Y.H. Mohamed, Balozi wa Tanzania nchini Uturuki amekutana na kufanya mazungumzo na Watendaji wa Benki ya CRDB walipotembelea Ubalozi tarehe 29 Machi 2022.

Read More

Kikao Cha Pamoja Kati ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania na Jeshi la Uturuki

Mwambata Jeshi (DA) wa Tanzania nchini Uturuki, Kanali A. J. Khalfan akibadilishana zawadi na Brigedia Jenerali Hakan Çanli, Mkuu wa Idara ya Mahusiano ya Kimataifa wa Jeshi la Uturuki, baada ya kushiriki…

Read More

Mazungumzo ya ushirikiano wa kuimarisha diplomasia ya uchumi.

Mhe. Lt. Jen. Y. H. Mohamed, Balozi wa Tanzania nchini Uturuki ametembelea Ofisi ya Mwakilishi wa Heshima wa Tanzania kwenye jiji la Istanbul, Bw. Ziya Karahan tarehe 26 Machi 2022. Kwenye mazungumzo yao…

Read More

Mkutano wa Diaspora wa Tanzania waishio Instanbull Uturuki.

Mhe. Lt. Jen. Y.H. Mohamed, Balozi wa Tanzania nchini Uturuki amefanya mkutano na Diaspora wa Tanzania wanaoishi Jijini Istanbul Uturuki tarehe 26 Machi 2022. Amewasihi Diaspora kushikamana na kuwekeza…

Read More

Balozi wa Tanzania nchini Uturuki afanya mazungumzo na mwenyekiti wa Yapi Markezi.

Tarehe 25 Machi 2022, Mhe. Lt. Jen. Y. H. Mohamed, Balozi wa Tanzania nchini Uturuki ametembelea Ofisi za Makao Makuu ya Yapi Merkezi nchini Uturuki na kufanya mazungumzo na Dkt. Ersin Arioglu, Mwenyekiti wa…

Read More