News and Events Change View → Listing

Mabalozi watembelea Kampuni ya Torku nchini Uturuki.

Balozi wa Tanzania nchini Uturuki Mhe. Lt Jen Yacoub H. Mohamed akiambatana na Balozi wa Kenya na na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo nchini Uturuki wametembelea Kampuni ya Torku iliyoko Konya inayosimamia…

Read More

Mkutano wa Mabalozi wa Afrika Wafanyika nchini Uturuki.

Mkutano wa kwanza wa Mabalozi wa Afrika nchini Uturuki ( ADC) kwa mwaka 2023 umefanyika leo tarehe 17/03/2023.  Ubalozi wa Tanzania ulipewa heshma ya kuwa mwenyeji wa Mkutano huo.  Pamoja na mambo…

Read More

Tanzania yakabidhi msaada wa kibinadamu kwa Serikali ya Jamhuri ya Uturuki.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekabidhi msaada wa kibinadamu kwa Serikali ya Jamhuri ya Uturuki kufuatia tetemeko la ardhi lililoikumba nchi hiyo tarehe 6/02/2023 na kusababisha madhara makubwa…

Read More

Mazungumzo ya Mhe. Balozi wa Tanzania nchini Uturuki na watendaji ya benki ya CRDB

Mhe. Lt. Jen. Y.H. Mohamed, Balozi wa Tanzania nchini Uturuki amekutana na kufanya mazungumzo na Watendaji wa Benki ya CRDB walipotembelea Ubalozi tarehe 29 Machi 2022.

Read More

Kikao Cha Pamoja Kati ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania na Jeshi la Uturuki

Mwambata Jeshi (DA) wa Tanzania nchini Uturuki, Kanali A. J. Khalfan akibadilishana zawadi na Brigedia Jenerali Hakan Çanli, Mkuu wa Idara ya Mahusiano ya Kimataifa wa Jeshi la Uturuki, baada ya kushiriki…

Read More

Mazungumzo ya ushirikiano wa kuimarisha diplomasia ya uchumi.

Mhe. Lt. Jen. Y. H. Mohamed, Balozi wa Tanzania nchini Uturuki ametembelea Ofisi ya Mwakilishi wa Heshima wa Tanzania kwenye jiji la Istanbul, Bw. Ziya Karahan tarehe 26 Machi 2022. Kwenye mazungumzo yao…

Read More