News and Resources Change View → Listing

KAMPUNI YA TECHNOPARK YA UTURUKI KUZURU TANZANIA

Kampuni ya Teknokent (Technopark)  kampuni tanzu ya Chuo Kikuu cha Ankara imeonesha dhamira ya dhati ya kushirikiana na Tanzania katika nyanja za teknolojia, utafiti na maendeleo, ubunifu na miradi ya…

Read More

UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UTURUKI WANADI UTALII

Ubalozi wa Tanzania – Ankara umetumia fursa ya Jukwaa la Utalii (International Tourism Trade Expo and Congress (TTI İzmir) kutangaza vivutio vya utalii na kuimarisha mawasiliano na wadau mbalimbali ikiwemo…

Read More

Ubalozi wa Tanzania nchini Uturuki umeshiriki kwenye mkutano wa Vision’25 Connectivity

Ubalozi wa Tanzania nchini Uturuki ulishiriki kwenye Mkutano wa Vision'25 Connectivity, ulioandaliwa na Umoja wa Wamiliki wa Viwanda na Wafanyabiashara nchini Uturuki (MÜSIAD),  Desemba 2, 2025, jijini…

Read More

Ubalozi wafanikisha Kambi ya Matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa

Ubalozi wa Tanzania uliopo nchini Uturuki umefanikisha uratibu wa kambi maalumu ya uchunguzi na matibabu itakayofanyika kwenye Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH), Dodoma kuanzia tarehe 1-7 Desemba 2025.Balozi…

Read More

BALOZI IDDI SEIF BAKARI AMEKUTANA NA UJUMBE KUTOKA TANZANIA

Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Mhe. Iddi Seif Bakari, tarehe 28 Novemba 2025, akiwa kwenye ziara ya kikazi Jijini Istanbul, alikutana na ujumbe wa Tanzania unaohusisha Watendaji na Maafisa Waandamizi wa…

Read More

BALOZI WA TANZANIA NCHINI UTURUKI AKARIBISHA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA AFYA

Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Mhe. Iddi Seif Bakari amelikaribisha Shirika la Yeryüzü Doktorları (Doctors Worldwide Turkey) kushirikiana na hospitali za Tanzania ili kupanua wigo wa huduma nchini…

Read More