News and Resources Change View → Listing

Balozi Iddi Seif Bakari akiwa na Mmiliki wa Kiwanda cha Niğtaş, Sakin ARUK.

BALOZI WA TANZANIA AFANYA ZIARA YA KIKAZI KWENYE MJI WA NİĞDE, UTURUKI

Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Mhe. Iddi Seif Bakari amewakaribisha wamiliki wa viwanda nchini Uturuki kufanya ziara nchini kujionea fursa zilizopo kwenye sekta ya biashara na uwekezaji, na kuahidi kuwa…

Read More

Tanzania yanadi fursa katika sekta ya Pamba nchini Uturuki

Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Mhe. Iddi Seif Bakari, Februari 23, 2026 amekutana na wamiliki wa kampuni za kuzalisha nguo nchini Uturuki katika Makao Makuu ya Jumuiya ya wenye Viwanda na Wafanyabiashara…

Read More

BALOZI WA TANZANIA NCHINI UTURUKI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA TEKNOLOJIA (UN)

Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Mhe. Iddi Seif Bakari amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Benki ya Teknolojia ya Umoja wa Mataifa kwa nchi zinazoendelea (UNTBLDC), ulioongozwa na Mkurugenzi…

Read More

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA WADAU WA MAENDELEO UTURUKI

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uturuki, Mhe. Iddi Seif Bakari ameshiriki Mkutano wa wadau wa maendeleo ulioandaliwa kwa pamoja baina ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki na Benki ya…

Read More

KAMPUNI YA TECHNOPARK YA UTURUKI KUZURU TANZANIA

Kampuni ya Teknokent (Technopark)  kampuni tanzu ya Chuo Kikuu cha Ankara imeonesha dhamira ya dhati ya kushirikiana na Tanzania katika nyanja za teknolojia, utafiti na maendeleo, ubunifu na miradi ya…

Read More