Mhe. Balozi Iddi Seif Bakari amekutana na Balozi Volkan Işıkçı
Novemba 25, 2025, Mhe. Balozi Iddi Seif Bakari alikutana kwa mazungumzo na Balozi Volkan Işikçi, Mkurugenzi Mkuu wa Kusini mwa Afrika na Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki.…
Read More






