Mhe. Lt. Jen. Y.H. Mohamed, Balozi wa Tanzania nchini Uturuki amefanya mkutano na Diaspora wa Tanzania wanaoishi Jijini Istanbul Uturuki tarehe 26 Machi 2022. Amewasihi Diaspora kushikamana na kuwekeza nyumbani.