Tarehe 27 Novemba, 2023 Mhe. Balozi Iddi Seif Bakari Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uturuki alifungua mafunzo ya walimu ambao watafundisha Kiswahili kwa wageni, mafunzo ambayo yaliendeshwa na BAKITA kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Uzinduzi ulifanyika Istanbul.