Mwambata Jeshi (DA) wa Tanzania nchini Uturuki, Kanali A. J. Khalfan akibadilishana zawadi na Brigedia Jenerali Hakan Çanli, Mkuu wa Idara ya Mahusiano ya Kimataifa wa Jeshi la Uturuki, baada ya kushiriki Kikao Cha Pamoja Kati ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania na Jeshi la Uturuki tarehe 29 Machi 22.