Balozi wa Tanzania nchini Uturuki Mhe. Lt Jen Yacoub H. Mohamed akiambatana na Balozi wa Kenya na na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo nchini Uturuki wametembelea Kampuni ya Torku iliyoko Konya inayosimamia viwanda tofauti tofauti zaidi ya 26 vikiwemo vya sukari; kusindika bizaa za mifugo; juice; dawa za binadamu; juisi; chochote na n.k. Kampuni hiyo inajipanga kufungua shughuli zake kwenye nchi za Afrika Mashariki.