Mhe. Dkt. Stergomena L. Tax (Mb), Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa pamoja na Jenerali Jacob Mkunda, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania wamewasili jijini Izmir, Uturuki tarehe 28/05/2024 kwa ajili ya kushiriki Mazoezi ya Kijeshi yanayojumuisha mataifa mbalimbali (Efes - 2024) yanayofanyika tarehe 29 - 30 Mei, 2024 jijini humo.