Tarehe 3 April 2024, Mhe. Iddi S. Bakari, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uturuki amekutana na Ndg. Zeynep Harezi Yılmaz, mmiliki wa Kampuni ya KARPOWERSHIP nchini Uturuki ambao wanajihusisha na usambazaji wa Umeme. Wawili hao walikubaliana kushirikiana katika sekta hiyo.