Mkutano wa kwanza wa Mabalozi wa Afrika nchini Uturuki ( ADC) kwa mwaka 2023 umefanyika leo tarehe 17/03/2023. Ubalozi wa Tanzania ulipewa heshma ya kuwa mwenyeji wa Mkutano huo. Pamoja na mambo mengine Mabalozi wamekubaliana kuongeza ushawishi wa Afrika nchini Uturuki.